Kiasi cha watu 10 wameripotiwa kufariki dunia huko nchini Argentina, katika mji wa Santa Fe unaopatikana kaskazini mwa nchi hiyo baada ya mabasi mawili ya abiria kugongana na kutoka nje ya barabara.
Ajali hiyo imetokea mapema jana japokuwa haijaelezwa chanzo cha ajali hiyo na hali za majeruhi. Taarifa hii ni kwa mujibu wa serikali ndani ya mji wa Santa Fe.
0 comments:
Chapisha Maoni