Ikiwa zaidi ya miezi miwili hadi mashindano ya Eurovision:mashindano ya muziki kwa mataifa ya Ulaya, Mashabiki zaidi ya 7,000 wa musiki kutoka nchi 52 tayari wamenunua tiketi.
Eurovision 2017 itakuwa mjini Kiev, Naibu waziri mkuu wa Ukraine Viacheslav Kyrylenko alisema siku ya Ijumaa (Jana).
"Idadi kubwa ya tiketi ziliuzwa Uingereza, Ujerumani, Urusi na Ukraine tunatarajia wageni wengi wa nchi za nje", Kyrylenko aliongeza.
0 comments:
Chapisha Maoni