Jumamosi, Februari 25, 2017

MAANDAMANO KUPINGA WAHAMIAJI AFRIKA KUSINI YAPELEKA LUPANGO WATU 156

Huduma ya Polisi Nchini Afrika Kusini (SAPS) siku ya Ijumaa (Jana) ilisema kuwa imekamata watu 156 tangu jana usiku kufuatia maandamano dhidi ya wahamiaji nchini humo.
Kulingana na ripoti ya polisi Raia wa Afrika Kusini walichoma matairi huko Atteridgeville, magharibi mwa Pretoria wakitaka wahamiaji waondoke nchini humo.
Kulikuwa na maandamano na kundi linalojiita "Mamelodi Concerned Residents" linaloamini kuwa wahamiaji nchini humo ndio wanaohusishwa na uhalifu.

0 comments:

Chapisha Maoni