Jumatano, Februari 15, 2017

JARIDA LA PLAYBOY LA MAREKANI KUENDELEA KUCHAPISHA PICHA ZA 'UTUPU'

Jarida la Marekani la Playboy litaendelea kuchapisha picha za uchi wa wanawake na kubatilisha marufuku iliopigwa ya mwaka moja.
Makala ya Machi na Aprili iliyochapishwa siku ya jumatatu ilikuwa na picha za Elizabeth Elam, Nina Daniele na mwigizaji Scarlett Johansson.
Kwa kupitia mtandao wake wa kijamii wa Twitter Cooper Hefner alisema “uchi haukuwa shida na uchi si shida.......Leo tunarejesha utambulisho wetu na kutwaa tena sifa zetu," na kuongeza kwa kusema kuwa uamuzi wa kuondoa kabisa picha za uchi "ulikuwa kosa".

0 comments:

Chapisha Maoni