Zoezi la kuhakiki umri kwa wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys limekamilika salama chini ya usimamizi wa madaktari wa hospitali ya Muhimbili
Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Alfred Lucas ameeleza kwamba zoezi hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki hospitalini hapo na lilikwenda vizuri na TFF imejiridhisha ipasavyo na umri wa wachezaji ambao sasa wanajiandaa kwa ajili ya fainali za Afrika kwa vijana wenye umri nchini ya miaka 17 zitakazofanyika Gabon Mei mwaka huu
Serengeti Boys imepangwa Kundi B pamoja na Angola, Mali na Niger katika fainali za vijana chini ya umri wa miaka (AFCON U-17) Mei mwaka huu Gabon.
Wenyeji Gabon watakuwa Kundi A pamoja na Guinea, Cameroon na Ghana na michuano hiyo itaanza Aprili 2 mwaka huu.

0 comments:
Chapisha Maoni