Je, huwa unavitupa wapi vifaa vyako vya kielektroniki kama simu vinapozeeka kiasi cha kutotumika tena au kuharibika?
Hili hapa na bango lililojengwa kwa kutumia simu za rununu ambazo haziwezi kutumika tena.
Bango hilo lililoko mjini Jakarta, Indonesia linanuiwa kuhamasisha watu dhidi ya utupaji mbaya wa taka za kielektroniki.
0 comments:
Chapisha Maoni