Wachezaji wa ngoma za kitamaduni kutoka nchini Zambia wakionesha ujuzi wao mbele ya viongozi na wenyeji wakati wa sherehe ya Ncwala katika mji wa Chipata nchini humo kusherehekea mavuno ya mazao ya shamba kwenye msimu wa kwanza wa mwaka.
Sherehe hiyo iliyofanyika jana na kuhudhuriwa na mamia ya watalii waliotaka kufurahia tamaduni za eneo hilo.
0 comments:
Chapisha Maoni