Jumanne, Aprili 05, 2016

WILLIUM RUTTO NA SANG HAWANA KESI YA KUJIBU ICC

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa uamuzi kwamba Naibu wa Rais wa Kenya William Ruto na mwanahabari Joshua arap Sang, hawana kesi ya kujibu.
Hata kwa mujibu wa mahakama hiyo kiongozi wa mashtaka anaweza kukata rufaa.

0 comments:

Chapisha Maoni