Jumamosi, Aprili 02, 2016

LIONEL MESSI ALIVYOITIMIZA NDOTO YA WATOTO WA OBAMA, MALIA NA SASHA

Mchezaji Lionel Messi alitumia binti za Rais wa Marekani Barack Obama jezi za Argentina zilizokuwa zimesainiwa kupitia Rais wa Argentina Mauricio Macri ambaye alikuwa akielekea Washington.
Obama na familia yake walipokuwa wamesafiri nchini Argentina katika ziara ya kidiplomasia binti zake Sasha na Malia waliomba mchezaji huyo jezi zilizoandikwa majina yao na kama ndoto ya kila mtoto kupata jezi iliyosainiwa na Messi ndoto yao ilitimizwa.

0 comments:

Chapisha Maoni