Waziri wa Wizara ya Ujenzi nchini Tanzania Makame Mbarawa amepiga
marufuku wafanyakazi wake kutumia mitandao ya kijamii kwa kutumia simu
saa za kazi.
Waziri Makame anasema wafanyakazi wengi wanatumia
muda mwingi maofisini “kuchati tu” katika mitandao ya kijamii, kupiga
porojo na udaku na hivyo kuishia kufanya kazi ndogo.
0 comments:
Chapisha Maoni