Jumatano, Machi 09, 2016

UWEZO WA COMPUTER UNAWEZA SHINDA UWEZO WA MWANADAMU?

Programu ya kompyuta ya kampuni ya Google "AlphaGo" imemshinda bingwa wa dunia wa mchezo wa Go, Bw. Lee Sedol wa Korea Kusini katika shindano la kwanza kati ya matano ya mchezo huo.
Hii ni mara ya kwanza kwa binadamu kushindwa na kompyuta katika mchezo huo, ambao unachukuliwa kuwa mchezo wa mwisho ambao binadamu anaweza kushinda dhidi ya kompyuta. Shindano la pili litafanyika Alhamisi wiki.

0 comments:

Chapisha Maoni