Watu sita nchini Uganda ikiwa ni pamoja na wanne wa familia moja
wamefariki katika ajali iliyohusisha ambulansi iliyokuwa ikitoka
hospitali ya Atiirir kwenda hospitali ya rufaa ya Soroti kumpeleka mama
mja mzito.
Msemaji wa polisi kwenye eneo la Kyoga mashariki Juma Hassan Nyene, anasema ambulansi hiyo iligonga Lori na watu wanne wakafa papo hapo huku wengine wawili wakifariki katika Hospitali ya Soroti.

0 comments:
Chapisha Maoni