Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo
ya pamoja na viongozi wengine na Rais wa Vietnam Truong Tan Sang na
ujumbe wake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba
jijini Dar es Salaam, leo. Rais huyo yupo katika ziara ya kikazi nchini.
Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Zakia Meghji na
Waziri Mahiga.
0 comments:
Chapisha Maoni