Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF ambaye pia
ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad
jijini Dar es Salaam. Maalim Seif amemshukuru Rais Dkt. Magufuli kwa
kumjulia hali na kusema kuwa hali yake ya kiafya inaimarika siku baada
ya siku.
0 comments:
Chapisha Maoni