Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea anashikiliwa na Polisi Central kwa kosa la kumpiga Katibu Tawala wa Dar es Salaam katika uchaguzi wa Meya ulioahirishwa.
Kubenea alikamatwa katika mahakama ya Kisutu ambapo alikuwa anaendelea na kesi yake na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.
0 comments:
Chapisha Maoni