Aliyekuwa mgombea wa urais kupitia chama cha Republican nchini
Marekani Ben Carson siku ya Ijumaa alitangaza kwamba anamuunga mkono
aliyekuwa mpinzani wake Donald Trump, hatua ambayo inaweza kuongeza
uungaji mkono wa trump miongoni mwa wapiga kura.
Carson Ni
mgombea wa pili kumuidhinisha bwana Trump baada ya Gavana wa jimbo la
New Jersy Chris Christie ambaye alimuunga mkono Trump mwezi uliopita.
0 comments:
Chapisha Maoni