Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania inasema asilimia 30% ya raia nchini wanatumia simu feki, ambazo hazijafikia viwango vinavyokubalika na zina athari mbaya kwa afya zao.
Mhadisi wa mfumo wa rajisi ya namba ya utambulisho wa simu za mkononi nchini humo Imelda Salum amesema athari za matumizi ya simu feki ni ya polepole lakini hatimaye ni hatari.
0 comments:
Chapisha Maoni