Siku tatu zilizopita kulisambaa taarifa kuwa baraza la mitihani Tanzania, NECTA limefuta matokeo ya kidato cha nne 2015 yamezuiwa kutokana na udanganyifu wa wasahishaji wa mitihani hiyo kitu ambacho kilikanushwa na wizara kama tulivyokufahamisha hapahapa katika Fichuo Blog, baada ya figisufigisu zote zilizotokea awali, leo tunakupa fursa ya kuyatazama matokeo rasmi ya kidato cha nne yaliyotoka mapema leo, na utaweza kuyatazama matokeo hayo kwa kubofya katoka link hii-http://41.93.31.198/csee/matokeo/csee/2015/csee2015/index.htm
0 comments:
Chapisha Maoni