Ripoti iliotolewa hivi karibuni inaonyesha kwamba Nairobi mji mkuu wa Kenya ndio kituo bora zaidi cha uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nje barani Afrika.
Nairobi imeipiku Johannesburg na sasa ina uwekezaji wa asilimia 37 % huku miradi 78 ikiwa imewekezwa nchini humo mwaka jana pekee.
0 comments:
Chapisha Maoni