Alhamisi, Februari 04, 2016

MESSI KUKUTANA NA SHABIKI WAKE MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI

Kijana mwenye umri wa miaka mitano,Murtaza Ahmadi, kutoka Afghanistan ambaye ni shabiki mkubwa wa mshambuliaji hodari wa Barcelona Lionel Messi hatimaye atakutana mchezaji huyo baada ya picha zake kuenea katika mtandao akiwa amevalia jezi ya mfuko wa plastiki inayoiga ile inayovaliwa Messi.
Imeripotiwa kuwa Messi alijulishwa kuhusu picha za Ahmadi kwenye mtandao na sasa anataka kukutana naye.

0 comments:

Chapisha Maoni