Zaidi ya mabasi 480 mjini Kigali Rwanda yamewekwa mitambo ya intaneti ya 4G, na hivyo kuwezesha wasafiri kufurahia huduma za intaneti ya kasi ya juu bila malipo.
Kigali ndio mji wa kwanza barani Afrika kuwa na huduma kama hizo kwenye magari ya usafiri wa umma.
0 comments:
Chapisha Maoni