Labda umeyaona mambo kama haya kwenye runinga, lakini wakaazi wa mji wa Qingdao nchini china wameyaona kwa macho yao, jamaa wakikanyaga moto, kuvuta gari kwa masikio na hata kunyanyua dada akiwa na baiskeli yake.
Yote ni sehemu ya maadhimisho ya tamasha ya taa inayoadhimisha nchini China.
Tamasha ya taa husherehekewa siku ya 15 ya mwezi wa kwanza wa kalenda ya kichina, na hivyo kuashiria mwisho ya sherehe za mwaka mpya wa jadi wa kichina.
0 comments:
Chapisha Maoni