Kampuni ya East African Aviation nchini Ethiopia imeanzisha huduma za ambulansi kwa kutumia ndege.
Mkurungezi wa kampuni hiyo Captain Mulat Lemlemayehu amesema ndani ya ndege hiyo kuna vifaa vya kisasa vya matibabu sawa na vile vya wodi ya ICU.
Amesema wanao marubani na madaktari waliohitimu ambao watatoa huduma kwa viwango vya kimataifa.
0 comments:
Chapisha Maoni