Jumatatu, Februari 29, 2016

KUHUSU MAHUSIANO YA AY NA AMANI

Msanii nguli kutoka Tanzania Ambwene Yessaya (AY) amesema gharamna za kusafiri na uzalendo ndizo zilimfanya kutengana na mpenzi wake msanii kutoka Kenya Cecilia Wairimu (Amani).
Amemtaja Amani kuwa msichana mwenye tabia zuri na anayependa sana nchi yake na hangeweza kuhamia Tanzania.
Hawakuwa na ugomvi wala kutoelewana, anasema AY ambaye licha ya mafanikio makubwa kimziki bado hajakuwa na familia.

0 comments:

Chapisha Maoni