Msanii Ray C nchini Tanzania amesema afadhali afanye uchumba na jamaa wa kusukuma mkokoteni badala ya mtu maarufu.
Amesema hayo wakati akizungumza na kituo cha runinga nchini hapa kwamba aliyekuwa mpenzi wake Issack ‘Lord Eyes’ Waziri alimuumiza sana moyo wake na ndio sababu hata alianza kutumia madawa ya kulevya.
Kwa kifupi anasema hataki tena watu maarufu lakini mtu tu wa kawaida pale mtaani. Upo!
0 comments:
Chapisha Maoni