Ijumaa, Februari 05, 2016

ADHABU YA KUWADHALILISHA WATOTO SASA NI KUHASI KWA KEMIKALI INDONESIA

Indonesia imepiga hatua kuhalalisha kuhasiwa na kemikali kama adhabu kwa wanaodhalilisha watoto kijinsia, hii ni kwa mujibu wa tume ya taifa inayotetea watoto nchini humo.
Rais wa Indonesia Joko Widodo anatarajiwa kutia saini sheria mpya itakayoruhusu adhabu hiyo.
Kulingana na sheria hiyo, watakaopatikana na kosa ya kudhalilisha watoto kingono watadungwa na kemikali ya kupunguza hamu ya ngono ili wasirudie kosa hilo.

0 comments:

Chapisha Maoni