Wafuasi wa dini ya Orthodox washerekea keki nyenye upana wa mita tatu
unusu na urefu wa mita mbili na unusu katika bustani ya Manezhnaya
katikati mwa mji wa Moscow wakiadhimisha Krismasi ya waOrthodox Urusi. Keki hii ilitengenezwa wakikutumia kilo 50 za unga na jam.
0 comments:
Chapisha Maoni