Ijumaa, Januari 08, 2016

MOTO WAZUKA KIJIJINI, FAMILIA 95 ZAATHIRIWA

Zaidi ya familia 95 zimelazimika kukimbia makwao baada ya moto kuzuka katika kijiji kimoja kilichoko kusini mwa mji wa Perth nchini Australia.
Moto huo mkubwa ulizuka vichakani na unaendelea kusambaa pahali pakubwa kutokana na upeo mkali na joto jingi.
Watabiri wa hali ya hewa wamesema kuwa joto hilo litaendelea kuzidi kasi na hivo kuupepea huo moto katika siku zijazo.

0 comments:

Chapisha Maoni