Ijumaa, Januari 08, 2016

LORI LA ABIRIA LAGONGA TRENI NA KUSABABISHA VIFO NA MAJERUHI

Watu watatu wamefariki na wengine 30 kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo na kugonga treni katika mkoa wa Phetchaburi, Thailand. Dereva wa lori hilo alikuwa mmoja wa wale waliofariki.

0 comments:

Chapisha Maoni