Taasisi inayosimamia malipo ya uzeeni nchini Brazil imetoa taarifa kuwa imepata mzee mkongwe kwa jina Jose Coelho de Souza ambaye ana umri wa miaka 131. Taasisi hiyo imesema kuwa ina cheti chake cha kuzaliwa cha mzee huyo. Bintiye de Souza ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 30 amesema kuwa akizaliwa baba yake alikuwa na umri wa miaka 101.
0 comments:
Chapisha Maoni