Ijumaa, Januari 08, 2016

PICHA RASMI YA RAIS MAGUFULI

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Bi Zamaradi Kawawa akionesha kwa msisitizo Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakati wa mkutano na Vyombo vya habari jana Jijini Dar es salaam.

0 comments:

Chapisha Maoni