MWANAMITINDO Amber Rose hivi karibuni alionekana kwenye duka la madawa ambapo alienda kununua dawa za kumsaidia kupata ujauzito.
Sosi anayefanya kazi kwenye duka hilo lililopo Miami aliweka wazi kuwa, baada ya Amber kufika dukani hapo aliomba kupatiwa dawa za uzazi ambapo alipewa ziitwazo Clomiphene.
Sosi huyo aliweka wazi kuwa, dawa alizonunua Amber hutumika kwa wanawake ambao wanapata tabu ya kupata ujauzito hivyo huenda mwanadada huyo anajiandaa kupata mtoto wa pili.
Katika harakati hizo, Drake ametakiwa kuwa makini kwa kutumia kinga kwani huenda akawa baba wa mtoto wa pili wa Amber kwa sababu kwa sasa wanadaiwa kutoka kimapenzi.
0 comments:
Chapisha Maoni