Mwanamke mmoja (jina linahifadhiwa) anayedaiwa ni mke wa mtu, amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni katika Manispaa ya Bukoba, akiwa na mwanaume mwingine inayesemekana ni hawara yake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustine Ollomi, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
0 comments:
Chapisha Maoni