Ijumaa, Januari 08, 2016

WASTARA AOLEWA TENA

Wakati sakata la kutaka kubomolewa kwa nyumba zake mbili zilizowekwa X ikiwa bado haijapoa, Muigizaji Wastara Juma, jana usiku amefunga ndoa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha CCM (UVCCM) Taifa ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Donge, Sadifa Khamis Juma

EATV

0 comments:

Chapisha Maoni