Ijumaa, Januari 08, 2016

JINSI AUSTRALIA WALIVYOUANZA MWAKA 2016

Raia wa Australia waanza mwaka mpya kwa mbwembwe kubwa za mashindano ya magari maarufu kama Street Machine Summernats Car Festival.
Mashindano haya yalianza Januari tarehe 7 na yataendelea hadi tarehe 10, katika mji wa Canberra, Australia

0 comments:

Chapisha Maoni