Mechi zilizochezwa leo katika viwanja mbali mbali vya Tanzania katika ligu kuu soka Tanzania Bara
Simba SC 1-0 Mtibwa Sugar
JKT Ruvu 1-5 Mgambo JKT
Toto Africans 0-1 Prisons
Stand United 1-0 Kagera Sugar
Mbeya City 1-0 Mwadui FC
Coastal Union 1-1 Majimaji
Azam FC 1 Vs African Sports 1.
Mechi zitakazochezwa kesho katika viwanja mbali mbali vya Tanzania katika ligu kuu soka Tanzania Bara
Yanga Afrika Vs Ndanda SC.
Matokeo ya ushindi kesho yatatufanya tuongoze ligi.
0 comments:
Chapisha Maoni