Jumatatu, Januari 11, 2016

AGIZO LA WAZIRI LUKUVI KWA HALMASHAURI ZINAZOCHUKUA MASHAMBA YA MASIKINI

Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mh. William Lukuvi amepiga marufuku halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kuchukua mashamba ya wananchi masikini bila kuwalipa fidia kisha kupima viwanja na kuviuza kwa bei kubwa huku wanunuzi wa viwanja hivyo majina yakijirudia nchi nzima kwa lengo la kufanya biashara ya ardhi.

0 comments:

Chapisha Maoni