Baadhi ya vijana wa CCM katika wilaya ya Bunda mkoani Mara wamesema kuporomoka kwa ushindi wa chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika mwaka jana kumesababishwa na udhaifu wa viongozi wa juu wa serikali wa kutolishughulikia kwa haraka sakata la Escrow.
0 comments:
Chapisha Maoni