Yanga imetuma majina 23 kwa ajili ya kikosi chao kitakachoshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika lakini imemtema kipa Juma Kaseja.
Katika majina yaliyotumwa kwenye makao makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf), hakuna jina la Kaseja.
Caf imeipanga Yanga kuanza na BDF ya Botswana, ambayo ni timu inayomilikiwa na jeshi la ulinzi la nchi hiyo.
0 comments:
Chapisha Maoni