Watu 37 wamejeruhiwa mara baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka mkoani Mbeya kwenda Dar es salaam kupasuka tairi na kupinduka katika eneo la Meta wakati dereva akifanya jitihada za kuikwepa baiskeli katikati ya barabara, Chimala, Mbarali mbeya. Taarifa zaidi na Picha juu ya ajali hiyo mbaya ingia katika link hii>>>http://www.fichuotz.com/2014/11/watu-37-wajeruhiwa-vibaya-katika-ajali.html
0 comments:
Chapisha Maoni