Alhamisi, Novemba 06, 2014

TAARIFA: SASA TUMEHAMIA KATIKA 'WWW.FICHUOTZ.COM'

Asante sana kwa kuwa nasi kwa kipindi cha miezi 14 katika blog yetu FICHUO TZ ambayo ulikuwa ukiipata kwa link ya www.fichuotz.blogspot.com, ni furaha yetu kukufamisha kuwa sasa tunapatikana katika link mpya ya www.fichuotz.com ambayo sasa ni website na kama kawaida tunakuletea habari kutoka nyanja zote na kote duniani. 
Endelea kututembelea kila wakati ili uendelee kuwa karibu na habari mpya mara zote
Ahsanteni lakini pia endelea kututembelea katika ukurasa wetu wa facebook kupitia www.facebook.com/fichuotz (FICHUO TZ) au bofya picha hii chini
www.facebook.com/fichuotz

Imetolewa na:
C.E.O
Fichuo Online Media.

0 comments:

Chapisha Maoni