Ijumaa, Novemba 07, 2014

GARI YA NSSF MBEYA YAUA DEREVA NA MENEJA WAKE

Watu wawili wamefariki dunia wilayani mbozi mkoani Mbeya na mmoja kunusurika katika ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Old Vwawa darajani na lililohusisha gari aina ya Toyota Land Grusser mali ya shirika la NSSF tawi la Mbozi na lori la mafuta. Kwa habari kamili ingia katika link hii http://www.fichuotz.com/2014/11/gari-ya-nssf-mbeya-yaua-dereva-na.html au ingia katika www.fichuotz.com

0 comments:

Chapisha Maoni