Naibu waziri wa Fedha Mh. Mwigulu Nchemba afafanua juu ya deni lililopo ndani ya Bohari Kuu ya Dawa ya Taifa (MSD), kutokuwa na uhusiano wa moja kwa moja kwa kukosekana kwa dawa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, na hospitali nyingine.
Kauli hiyo imekuja mara baada ya kuwepo kwa taarifa juu ya Bohari Kuu ya Dawa ya Taifa (MSD), kusitisha kusambaza dawa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Taasisi ya Saratani Ocean Road, Hospitali za Wilaya ya Kiteto, Mpwapwa na nyingine kutokana na deni la Sh. bilioni 98.3, ambapo waziri huyo alikanusha taarifa hiyo na kudai kuwa deni hilo halina uhusiano wa kukosekana kwa dawa nchini.

0 comments:
Chapisha Maoni