Uchunguzi uliofanywa na siri zilizotolewa na diwani umeyaweka wazi haya machache ila mazito kuhusu ushindi wa miss Tanzania 2014/2015 Sitti Mtemvu:
1. Kuna mtu ndani ya kamati alipewa shillingi millioni 5 advance ya kumshindisha bibie
2. Inasadikiwa bibie ana mtoto kweli yupo Morogoro
3. Aliyetumika kucheza mchezo mzima ni binti anaitwa MK
4. Ndiye aliyekwenda mpaka kutengenza cheti vizazi na vifo..
Hivyo sasa hakuna siri akamtolea siri nzima diwani mmoja huko Temeke na ndipo habari ilipoanzia kutoka na mpaka sasa MK amejificha Morogoro kutokana na kutafutwa kila kona ya jiji.

0 comments:
Chapisha Maoni