Jumatano, Oktoba 29, 2014

LORI LAANGUKIA DALADALA

Lori la mizigo ambalo lilimefungwa tela limeangukia daladala (Hiace) katika eneo la Jet-Lumo na kusababisha Hiace hiyo kuwa nyang'anyang'a.
Daladala hilo lilikuwa limepaki kituoni, eneo la kona kwa ajili ya kusubiri abiria.
Watu walioshudia ajali hiyo wanasema semi-trailer ilikuwa ikikata kona na kontena lilikuwa limepakiwa kuangukia daladala hiyo.
Inaelezwa kuwa hakuna majeruhi wala vifo.

0 comments:

Chapisha Maoni