Msanii nyota wa filamu nchini Sherry Charles Magali ambaye ni mtoto wa mzee Magari amefariki dunia akiwa katika
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro
wodi namba 8.
Msanii huyo, amefariki leo saa nne asubuhi
baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, taarifa zaidi za
mazishi zitatolewa baadae. Fichuo Tz inatoa pole kwa wafiwa na kumtakia marehemu alale pema- ameen!
0 comments:
Chapisha Maoni