Timu ya Kikapu ya Pistons imemtema
Mchezaji wake kutoka nchini Tanzania, Hasheem Thabeet ambaye amejiunga
na Pistons mwezi septemba akitokea klabu ya Philadelphia iliyokuwa
imemchukua kutoka Oklahoma City Thunder.
Alicheza dakika tano tu
katika mchezo mmoja wa pre season na katika mwezi huu amecheza dakika
tano tu dhidi ya Washington Wizard huku akikosa jaribio lake moja na
kufunga.
Pamoja na Hasheem Thabeet wengine waliofungasha virago ni Brian Cook, Lorenzo Brown na Josh Bostic.
0 comments:
Chapisha Maoni