Shirika la Ugavi wa Umeme nchini (TANESCO) mkoani Iringa limewataka wananchi kulinda miundombinu ya shirika hilo ikiwemo nyaya ili kuepukana na tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara.
Kaimu Meneja TANESCO mkoa wa Iringa Mhandisi Seraphine Lyimo amesema, baadhi ya wananchi huchoma moto mashamba yao kwenye njia za kupitisha umeme na kuunguza nyaya na nguzo hali ambayo husababisha umeme kukatika.
Mhandisi Lyimo ameongeza kuwa idadi kubwa ya wananchi hulalamika kuwa bili zao zinapanda kutokana matumizi mabaya ya umeme.

0 comments:
Chapisha Maoni