Ijumaa, Septemba 12, 2014

AFA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA KUPASUKA FUVU IRINGA

Kodura Kasige umri miaka 19 mkazi wa kijiji cha Ng’ang’ange wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa ameuawa kwa kushambhuliwa na mtu/watu wasifahamika kwa kitu chenye ncha butu kichwani hali iliyopelekea kupasuka kwa fuvu la kichwa cha marehemu.
Kaimu kamanda wa jeshi la poilisi Mkoani Iringa ACP Pudensiana Protas ameongeza kuwa jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi zaidi wa chanzo cha mauaji hayo ikiwa ni pamoja na kuwatafuta watuhumiwa walio husika na mauaji hayo.

0 comments:

Chapisha Maoni