Liverpool wamefikia muafaka na AC Milan wa ada ya £16million kwa ajili ya straika Mario Balotelli.
Inakisiwa kua Balotelli anataka mshahara wa £125,000 kwa wiki ili ajiunge Anfield na uhamisho unakaribia kukamilika baada ya makubaliano kati ya balotelli na Liverpool kukamilika.
Brendan Rodgers mwezi uliopita alisema Liverpool hawatamsajil straika huyo lakini inaonekana kabadili mawazo.

0 comments:
Chapisha Maoni